inapatikana huku Ulaya.
Hello :)
since some weeks i can receive ITV and EATV over Satellite. Both TV channels come together with nice radio especially EA-Radio and their latest bongo genge moto moto vibes.
On the same satellite are still Agape TV (ya kanisa) and Channel 10.
Here you can find the schedule
http://www.eatv.tv/schedule/index.htm
http://www.itv.co.tz/
The satellite name is Intelsat 906 and the area where it can be received is this:
http://www.lyngsat-maps.com/maps/intel906_westhemi.html
The difficult thing is for receiving the satellite a large dish is necessary. I have a cheap one with not so good quality and 1,80 m diameter (Jonsa) and a good receiving quality.
Probably a good satellite dish with 1,50 m diameter will work pia.
Then a C-Band LNC or LNB is needed kwa mfano
MTI C Band LNB AC 21-2CB SINGLE LNB
ama
Inverto IDLP-T C-BAND Low Noise
Halafu you need a digital receiver. It should have "blind scan" kwa sababu it makes easier to find the satellite. PC-Cards kwa kompute are not good. I have tested some, they are not sensitive enough.
Kwa adjusting the whole stuff probably you will need an expert ... is not so easy. And here in northern Germany you need free sight. The elevation is only 15°. If there are big buildings on the east side it might be difficult to see the satellite.
sawa .... natarajia sikuwaboo to much with technical stuff.
Lakini kutazama runinga kutoka TZ inanifurahisha sana. and especially listening to the music.
nataka ku share :) furaha yangu.
salamu nyingi na mapenzi mengi
Sarah
|
|
bongo nchani
Kumbe Sara uko Ujerumani ya Kaskazini? Sehemu gani?
Ninaishi karibu na mkutano
Ninaishi karibu na mkutano G8 mjini Kuehlungsborn, karibu na Heiligendamm. nikitazama kutoka dirisha naweza kuangalia press center. ilikuwa jengo kubwa sana.
Kazi yangu ni hoteli ya kulala. siyo kubwa sana. ina vyumba ishirini. ninazuia kupamba baadhi ya vyumba na satelltie receiver. Vilevile watalii wanaweza kutazama luninga kutoka Afrika Mashariki. :) Hoteli yangu inaitwa "Pension Jasmin"
Je, unakaa wapi ? Ujerumani kaskazini pia ?
salamu nyingi na siku njema
Sarah
nime mixed up maneno
ninanuia (not ninazuia) kupamba baadhi ya .....
:)
Kumbe mbali kidogo. Niko
Kumbe mbali kidogo. Niko eneo la Hamburg, upande wa kusini-magharibi, kijiji karibu na Buxtehude. Kazi yangu mashuleni. Mdogo wangu yuko Rostock, menginevyo sifiki huko sehemu zenu.
Umekaa muda gani? (Alaa - naona tovuti yako. Nyumba safi!). Basi ukipita Hamburg ! Karibu! Wanipata siku yoyote kwenye
http://sw.wikipedia.org/wiki/User_talk:Kipala
Wasalaam!
si mabali sana :) Kitambo
si mabali sana :)
Kitambo nilifanya kazi karibu na Buxtehude kwa Airbus / cids. Buxtehude ni mji mzuri sana.Wewe ni mwalimu ? nilitazama wikipedia ya Kiswahili nikashangaa. Hiyo ni kazi nzuri sana. Afadhali ninakutumia barua pepe ya binafsi kwa ajili ya mada.
Mimi ninaishi huku Kuehlungsborn tangu nilizaliwa. Kabla ya miaka mbili nilianza kujifunza lugha yetu. Mara mbili nilikuwa katika Afrika Mashariki / Kenya, kila wakati kwa wiki tatu kwa likizo. Bado sijasafiri mpaka TZ.
Salamu nyingi, siku njema na mungu awabariki
nyinyi nyote ndani ya forum hiyo
Sarah
15
HABARI ZA DEUTSCHLAND?
Mzuri :) na habari ya mahali
Mzuri :)
na habari ya mahali unapoishi ?
Sarah4
Luninga ....
Kama nyongeza la mada la Sarah, hebu pokea maoni machache haya:
Ikiwa mtazamaji hataki kufunga ungo (satellite dish), labda ataridhika kama atatumia njia mbadala ya kupokea vipindi vya luninga ya TZ m.y. kupitia tarakirishi. Ukubwa wa kioo (screen) unaweza kubadilika kulingana na mapendeleo binafsi.
Nenda kwa tovuti ya www.jumptv.com kupata maarifa mengine mengi. Gharama ni bei mbaya sana, bei ya kejeli kweli, kama Euro 10 kila mwezi. Mara kwa mara upokeaji si wa kiwango cha juu kabisa lakini kama nilivyosema hapo juu usipotaka kuweka ungo au mkonga (aerial), afadhali kuthubutu njia hii … ujionee.
Mimi natazama Startv TZ ….
Kuhusu nyimbo za Kiswahili zenye urushaji mzuri sana hewani, jaribu www.mahusiano.com. Utashangaa!