Habari, una fanyage leo? Nina andika kwasababu hamna watu hapa wanao jua kuzumgunza kati Kiswahili. Nime sahau maneno mingi kwasababu sija zumgunza na watu wengine. Mimi sitaki kusahau maneno yote! Una weza kuzumgunza na mimi kuliko kila kitu? Niandike, natuta zumgunza.
Rhonda Farrer
Swahili Bookstore
Books, Music,
Movies, More!
Pour les francophones:
Le swahili simplifié
|
|
Rhonder... Damn, and i thot
Rhonder... Damn, and i thot i was bad...
hey someone help this lady please.....
Hi Rhonder
Hi Rhonder,
iam real sorry for you that you had to wait for a such long time for an Answer simply no one replied you,,,,or it might be also no one saw your mail ;-)
yeah, what would like me to do for you?
Swahil is my nativ language, iam speaking also fairly German and other local tanzanian languages
hope to hear from you one day.
wasalam
nyika
usishindwa na upuzi wa helraiser
Hujambo Rhonda,
Nilisikitika kuona majibu ya helraiser. Ni nani huyu? Tena, mwenyewe hawezi kunankika Kiswahili?
Visuri ujaribu kuandikana na watu. Ata mimi, nilifurahi kukutana na Kamusima Project. Nilishanga kujua sijasahau Kiswahili. Labda nitapata nafasi ya kuenda Kenya na Tanzania mwaka huu kwa kazi yangu. Ikiwa nitaweza kuenda, itakua kwa muda fupi tu, lakini sijaona Kenya tango miaka elfu moja mia tisa na sabuini. Nilioa mwanainchi wa Kenya, kwahivyo tuliizungumza Kiswahili kwa miaka kumi na ine. Lakini, tuliwachana badai, na sijaonana na mswahili tango miaka zilizopita.
Na wewe, je, Kiswahili uliijuaje?
Salama,
Mikaeli
Few words
Hi
Could you possible translate a few words for me into English
nimemwambia amekuwa nikija
would be very much appreciated
Cheers
nimemwambia amekuwa nikija
The literal traslation is "I told her/him he/she was I should come"
Perhaps the person meant "I told him/her that he was (of a mind) that I should come"
or in Kiswahili something like "nimemwambia amekuwa tayari kwa mimi kufika"
he was ready for me to come
or "nimemwambia ametumaini ningefika"
he was hoping that I would come
or well, I am just guessing.
Mikaeli (heck, I just learned to spell my name in Kiswahili)
Your Swahili sentence does
Your Swahili sentence does not really make sense. Did you get the words right??