Submitted by jane barongo on 17 January 2008 - 5:30am
mimi ni jane barongo.lugha yangu ni kiswahili,lakini nimeshindwa kujua tofauti kati ya sala na maombi.kwani maneno ya mungu yanasema tudumu katika sala na maombi.
Naomba msaada wenu kutofautisha maneno haya.
nimechelewa jibu langu maana ulituma ujumbe wako zamani sana. Ila nitatoa maoni yangu isipokuwa sina kiswahili kama lugha ya mama wala ya baba. Ila nimejifunza kiswahili kama lugha ya kigeni mwanzoni.
Nimekutana na nimezumgumza mara nyingi na watu wengi mbalimbali (wakristo/waislamu) ambao wametoka Tanzania au Kenya. Aidhaa ni mkristo mwenyewe na hivyo nimezoea kuzumgumzia mashughuli zangu za kwenda kanisani na vilevile. Majibu mengi ambayo nimepewa kutoka watu kwa matumizi yangu juu ya hayo maneno ni ya kwamba watu wanapendelea kusema ya kwamba wakristo wanaomba kanisani (siyo kusali) na waislamu wanasali mosk (siyo kuomba).
Mwenyewe ninachanganya maneno hayo nikiyatumia kutegemea na mtu ninayezumgumza naye. Pengine ni kama vile mtu huyo alivyojibu ujumbe wako juu, yaani matumishi yao yanategemea juu context.
Kwa kawaida, nionavyo mimi watu wasiohusika na mambo ya kidini, hawatofautishi kinagaubaga matumizi ya maneno hayo.
Katika muktadha ya dini, kwa upande mmoja “kusali†hakujumuishi “kuomba dua Munguâ€Â. Swali ndilo lile la kumwabudu Mungu bila ya kuwa na matarajio ya kupokea kitu.
Kwa upande mwingine, “kuomba†hutilia mkazo kitendo cha kutafuta msaada kutoka kwa Mungu bila ya tamko wazi kuhusu namna yoyote ya ibada.
Kivitendo kwa mfano nafikiri “kupiga magoti mbele ya Mungu†hujumuisha vijenzi vya kuomba na kusali kila mara.
Lakini tukumbuke kwamba watu wako ambao hufikiri kwamba sala la maombi kwa Mungu hazifai kwa sababu ya mtu kutoweza kushawishi Mungu afanye kile kiombewacho.
nimejaribu kujibu
Habari jane?

Kusali, kuomba